@festonkandonga855 years agoNayapenda sana madini haya hakika yanatoa hatua moja kwenda nyingine. 4
@
@estaraberd12452 years agoAmeen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana.
@
@nyotasandra11764 years agoIyo kweli mtumishi wa mungu, muda mwengine hatuelewi maonosana.
@
@Neemakilimba2 years agoEee mungu nisaidie kumwezesha mtu wa ndani nope nguvu ya roho mtakatifu.
@
@davidtry4ne3 years agoAsante sana mtumishi wa mungu. Nna swali kidogo na linanitayiza sana. Mtu anaweza kujazwa na roho mtakatifu bila kusema kwa ligha mpya!
@
@salomejacob12422 years agoWewe umenielewesha sana hawa feke ndo.
@
@Word_DJ.3 years agoKuna utofauti gani na kipaumbele kiasi gani kwa mungu kati ya anayeomba kwa lugha na anayeomba kwa lugha ya kawaida wote katika kumaanisha.
@
@dawhiteschola88472 years agoMchungaji umenena vyema ila na swali hapo kwenye unenaji wa lugha neno lina sema tutapewa lugha mpya je mbona lugha hi roboshalala bakurya imekuwa. Kama fashion lugha ni ilele watu wote wananena moja.
@
@nyotasandra11764 years agoTunapo ulizia, ata wa chungajichochote, ao wanakwambia eti si vya kwako.
@
@mwl.deogratiaschristopher11265 years agoGood. sasa mbona somo hata halijaanza alafu ndio imeisha. 1
@
@lauraingosi14284 years agoNimekubaliana na wewe kabisa kwenye ile sehemu ya kunena kwa roho ulipokua ukielezea kuhusu tukio la mwili kutetemeka, kuna kunena kwa lugha ya kiroho, lugha ya roho mtakatifu (lugha mpya) 2
Related videos for NAMNA YA KUONA VITU KATIKA ULIMWENGU WA ROHO:
sasa mbona somo hata halijaanza alafu ndio imeisha. 1