Duration 15:00

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja

708 707 watched
0
2.5 K
Published 23 Aug 2017

Kama ulikua miongoni mwa wanaotamani kumsikia au kufahamu shughuli anazofanya kwa sana Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, taarifa ikufikie kwamba AyoTV imemtembelea Msoga na akatuonyesha anachofanya.

Category

Show more

Comments - 463
  • @
    @senatormatemu55807 years ago One of the best video clips, inspirational moveformer president jk kikwete. 13
  • @
    @chipatv6777 years ago Mstaafu jk nakukubali sana. Like hapa km unampenda jk. 99
  • @
    @mtanzaniamzalendo70017 years ago Mzee wa msoga hongera sanaa, u na busara sanaa wewe mzee. Mungu akupe maisha marefu. 17
  • @
    @canoksancomprehensivelearn71827 years ago Congratulation the former president j. K. I miss you a lot. May god bless you. You encourage us to work hard as farmers. We try to do at our best effort may be one day we can reach the goal. 3
  • @
    @migogelemkude74155 years ago Hongera mzee utazidi kupendwa daima allah akulinde akulipe ulitutumikia sema asante sana. 12
  • @
    @renaldakamugishazeramulake9407 years ago Huyu baba mpole, mkalimu, ana huruma, ana subira yaani anaweza kutembea kwa mguu usiku kucha bila bodigadi, anaweza kulala nje ya nyumba miaka hata 50 . ...Expand 26
  • @
    @mugenyagakala33507 years ago Maisha bora kwa kila mtz. Hongera jembe. 15
  • @
    @joelp.gideon90034 years ago Youre my favorite, my father, and my president ever. I wont grow weary missing you daddy. You always touch my personality. Youre the superior one i id="hidden3" have never seen. Myof you wont end to death, youre the father of kigoma people to date.
    praying for success in everything that your hands touch.
    miss your sir!
    . ...Expand 1
  • @
    @gracekulaba70156 years ago Hongera sana jk. You will always inspire many of us. 8
  • @
    @josephgomalo417 years ago Nitajitahidi na mimi nifikie hapo. Asante sana mzee kikwete. You practically bring me back to bagamoyo secondary. Agriculture class. 10
  • @
    @romanus97006 years ago Safi sana, i am from kenya and i like tanzanian leaders from nyerere, mwinyi makapa, kikwete to magufuli. Great leader' s. 13
  • @
    @agneserasto98065 years ago Afi sana raid, wetu mstafu, kwa kazi njems ya hufugaji, tutajifunza kutoka kwako, 6
  • @
    @stewartmillanzi71987 years ago Hongera sana mkuu. Wewe ndo mfano bora wa kiongozi mvumilivu unayejitambua na kufanya mambo kama mtu mzima. Hongera kwa kuwa msuluhishi mzuri. Wenzako . ...Expand 3
  • @
    @jimmyjohn81846 years ago Safi sana mzee wetu, vijana tupo nyama tunasubiria baba usafishe njia nasi tupite kwa wepesi. Mungu akufanyie wepesi na kukuhifadhi miaka mingi zaidi. 2
  • @
    @alquinmadoro57677 years ago Hongera Sana mkuu
    Wewe ni mfano WA kuigwa ,yan daaah
    Much respect kwako president
    32
  • @
    @abeidmayanga8097 years ago Mwanasiasa mwenyesiasa zake we miss u mheshimiwa jk. 16
  • @
    @moviesandinfotv99335 years ago Naomba kaz ya kukamua maziwa mzee wetu nakupenda mstaarab sana. 7
  • @
    @bertinsayumwe66216 years ago We miss you our lovely dad mungu akupe maisha marefu. 1
  • @
    @fransicochunji3276 years ago Mungu akuinueyako imeonekana, ndo maana tanzania iko hapa. 1
  • @
    @gregorymmasi34426 years ago Miss u sana mzee wetu. Hope one day nitakuona. Busara kubwa. Appreciated sana live long mzee jm kikwete. 1
  • @
    @flyhigher53937 years ago Mzee huyu ana hekima sabaa, mwnyez mung ampe maisha marefu. Amin. 24
  • @
    @hosearwechungura71647 years ago Tunakupenda sana mhe. Jk, obama wa tanzania! 6
  • @
    @abdallahmashua72347 years ago Safi sana kiongozi, naona unazidi kutuongoza kwenye ujasiriamali. 7
  • @
    @nkeshgomegwa16774 years ago Duh nafurahi sana nikikuona baba mwenyezi mungu akujaalie maisha marefu.
  • @
    @jamesjoseph44607 years ago Nimeipenda hiyo mkuu kwakweli ninahitaji elimu hiyo ya ufugaji wa ngombe wa maziwa, na kilimo. Mungu akubariki elimu hiyo itufikie na huku kahama, asante sana. 1
  • @
    @michaelchongolo13167 years ago Nakupenda sana mze wangu jk haya ndo maisha yetu. 5
  • @
    @NashonMbumba57 years ago Hongera rais mstaaf. Hiyo n kazi njema. 1
  • @
    @adamgeorge55327 years ago Nice sana baba your good example for people. 2
  • @
    @jumamataro48702 years ago Jakaya poa sana watanzania tunakutakia maisha malefu mbele za mungu.
  • @
    @kibondeezekiel44597 years ago Ayo tv nawakubali sana. Hiyo ilikiwa bonge laex-president is so inspirational! 1
  • @
    @marymichelle62805 years ago Very inspiring interview, hongera sana mheshimiwa raisi mstaafu.
  • @
    @ismailramole17007 years ago Dah. Kweli you will never know what you have until when you miss it. Now ndio najua umuhimu wa mzee wetu jk. He was a great leader wa mfano africa. God bless you and your family. 15
  • @
    @abedkirway36405 years ago Mwenyenz mungu akupe maisha marefu babaetu tunaekupenda jk rais wa mfano duniani.
  • @
    @mosesndahani30495 years ago Rais wetu unamoyo wa peke mungu akujalie maisha marefu. 1
  • @
    @halimamlili88037 years ago Tumekimis kwakweli baba yetu mung akupe maish malefu. 7
  • @
    @maryamsinganomaryamsingano79387 years ago Nimtu msitaalabu sana na mcheshi sana mungu akupe umri mrefu. 9
  • @
    @daudimaguha94477 years ago Ridhiwani, mshauri dingi afuge ng' ombe wekundu, sawasawa. 11
  • @
    @yunushamis48395 years ago Safi sana unahekima, unajua kujibu dah! Wanaokutukana mungu anawaona akina msiba walaaniwe kabisa safi sana kwa darasa lako nimejifunza kitu kupitia majibu yako mazur.
  • @
    @enockkitomarys49096 years ago Ni juhudi nzuri mh jk mungu akupe maisha marefu.
  • @
    @fransicochunji3276 years ago Asante mheshimiwa kwasomo lakilimo, kuna kitu kikubwa.
  • @
    @wazirisaid83262 years ago Hongera sana mheshimiwa jk. Unaonekana kijana na mwenye afya njema kuliko wakati ulee. Hii ni kwasababu huna roho mbaya wala chuki. Wewe ndio baba yetu . ...Expand
  • @
    @esperancenathali4 years ago Tanzania kila kiongozi anaye mnae mchagua huwa anajaa tabasamu na nyuso za ukarimu big up sana my country born. 1
  • @
    @ramadhaniissa53705 years ago Nakukubari kikwete we ninoma nakupenda we ni raisi bora kuliko maraisi wote thenk you mr plesdent. 1
  • @
    @simonmacktauo65217 years ago I wish you were still our president. We miss you so much. So deep in agriculture mpaka unajua tissuesana nazichanga na mimi nije huko kupiga picha tuu. 2
  • @
    @stephanomoses76942 years ago Dr. Bna anaish maisha ya raha sana hana hata matambo yan.
  • @
    @charlesmartin14487 years ago Congratulations my former president. That was good. 2
  • @
    @sanaanimaisha40727 years ago Tunakupenda sana mstaafu.
    hekima na busara zako hazina kipimo.
    wewe ni mfano wa kuigwa.
    7
  • @
    @yohananoah66287 years ago Mzee hongera sana mh ila tatizo mtaji tu aidia nzuri. 2
  • @
    @anthonyyalanda15404 years ago Mkuu kikwete barikiwa sana, kilimo ni uhai wa maisha yababa.
  • @
    @janebrighton73124 years ago After nyerere your the best too for me.
  • @
    @agnesschengula59374 years ago Hatataacha kukumbumbuka kwa memaakupe maisha marefu mheshimiwa.
  • @
    @veronicadaniel11225 years ago Nakupenda sana mzee wangu kwa hekima ulonayo.
  • @
    @abedymigodela13145 years ago Kwakweli kikwete ni mwisho wa maelezo aisee mungu akurinde mh. 1
  • @
    @SensaManzagata-tv7ds5 months ago Hongera sanaa rais msitafu wa awamu ya nne nimeisoma sana hiyo click yako ya kilimo na ufugaji uliyoitoa miaka wakati nikiwa form two ukiwa kwenye mazungumzo ya ayo tv.
  • @
    @thomasraiton77607 years ago Nakukubali sana rais mstaafu kupiga stori na vijana wako namna hii raha sana mkapa hawezi muda wote yeye ni utandawazi na siasa tu. 1
  • @
    @chachayohana27177 years ago Hakika umenihamasisha sana kiongozi, ili mtu ufanikiwe lazima uwe na mawazo mbandala na si kuangalia kwa macho yote kazi moja. Mungu akujaalie afya njema.