Duration 4:3

Staa wa Bollywood Preetika leo ameongea na waandishi wa habari DSM

51 430 watched
0
224
Published 31 Mar 2018

AzamTV ambao ndio waandaaji wa tuzo za Sinema Zetu International Film Festival leo wametangaza kuwa Rais mstaafu wa awamu ya nne DR Jakaya Mrisho Kikwete ndio atakuwa mgeni rasmi wa tuzo hizo zitakazofanyika April 1 2018 katika ukumbi wa Mlimani. Usiku huo zitatolewa tuzo 19 katika ya tasnia ya uigizaji lakini tuzo pia zitaenda sambamba na zawadi ya fedha huku kiwango cha juu kabisa mshindi atapewa tuzo na Tsh Milioni 5 kwa baadhi ya vipengele lakini leo pia waandaaji wa tuzo za ndio walitoa fursa kwa waandishi wa habari kukutana na mgeni mualikwa kutoka India (Bollywood) Preetika aliyecheza tamthiliya ya inayooneshwa na Azam TV.

Category

Show more

Comments - 29