Duration 2:1

KESI YA MBOWE: WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA POLISI, WALIBEBA MABANGO

58 772 watched
0
154
Published 5 Aug 2021

Wafuasi wa CHADEMA waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufatilia mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamekamatwa na Askari Polisi baada ya kuinua mabango na kupiga kelele kwamba "Mbowe sio Gaidi". Kesi ya Mbowe inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo hata hivyo Mbowe hakufikishwa mahakamani bali kesi yake inaendeshwa kwa njia ya mtandao. Mbowe ameshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu July 26, 2021 kwa mashtaka mawili ikiwemo la tuhuma za Ugaidi.

Category

Show more

Comments - 293
  • @
    @richardtemeshe60413 years ago Mm ni ccm in blood coz i get from my grand parent but 4 that issue of hornerable mbowe it was very big mistake for tz nawahakikishia serekali hii issue . ...Expand
  • @
    @eliudijastini6453 years ago Mama niko setro kituo cha polisi umefanyaje mwanangu nimekamatwa nimeandamana nyambafuu kaaukoukoo pumbavu kunaalie kutuma subiria mbowe aje kukutowa. 6
  • @
    @mzalendomzalendo25673 years ago Hawa nao wamekosa kazi, wanataka tuu kuonekana kwenye tv, 3
  • @
    @estamunuo23863 years ago Walitumwa waje kituon naviongoz wao saa sjui kwann hao viongoz hawakuja wenyewe. 3
  • @
    @magechuwa8043 years ago Kamata wote maana wanafanya maksudi mazima. 1
  • @
    @johnssaimon4503 years ago Hivi hapa mbona siwaoni kina @jongwe @pmsigwa @ mdude. Hivi watanzania mnakwamawako wapi? 5
  • @
    @kabwelasutiviraka47653 years ago Jombaz na shangalishazi walikuwa wana mbeep mama na mama yuko vizuri, hawa takuwa hawana kazi au wamelipwa kuandamana tafuteni pesa. 3
  • @
    @gjsjsjsjsjsjvsjjshhshsh46833 years ago Akiri za matope umetiwa ndani family yako iteseke. 4
  • @
    @paulkisatulusana11423 years ago Safi sana polisi
    wanatangaziwa hakuna maandamano wao wanafanya, hata mbowe hawamjui vizuri
    naiombo polisi utowe ushahidi hadharani wa huo mimi namjua mbowe anafanya mambo ya ovyo sana ila anajifichia kwenye siasa. ...Expand
  • @
    @theopisterrichard553 years ago Wabongo wanatabu kweli mtu unaacha kazi zako unaenda andamana kwa ajili ya mtu ambae huna hata ukoo nae wabebeni tu kwa kweli. 4
  • @
    @muhammedsuleyman65013 years ago Badala kufanya kazi mnaenda kuandamana, mtakula virungu. 3
  • @
    @fabianmainchanyangachika50173 years ago Sasa huko maabusu sio mkusanyiko na nlundikano?
  • @
    @johnmalembo64643 years ago Kwenye kukamatwa kila mmoja anajiokoa ki
    hekma ya mbinguni inahitajika sana. Eee mwenyezi mungu tubariki na kutuokoa watoto wa tz.
    1
  • @
    @amirikoshuma30393 years ago Kwa sababu ya ugali wa my niende mahabusu uo ujinga bado sana. 3
  • @
    @veronicasamson95263 years ago Sis huku morogoro mjini tunashida ya maji hatar yan tangia tenesco kuungue had leo hatuna maji yan na huu ugonjwa wetu sindio itakua balaa. 1
  • @
    @suleysafari35353 years ago Kuna moja hapo amesema. Yailahi toba tayari nimekwisha. 4
  • @
    @mustafaabdulshakur47133 years ago Sasa wanakimbia nini wakati wamejitolea hahahaha. 3
  • @
    @mtesigwalulale58673 years ago Ukijitia upumbavu wa kusiasa kutumika kwa matumbo ya watu utanyea ndio. 5
  • @
    @mamazaii64213 years ago Hee! Maandamano jamani yameisha mara moja tu daah! Mb zangu sijaona vizuri. 1
  • @
    @happinessmwenda27733 years ago Niliwahi kuona sinema ya sarafina ya sa nililia baadaye nikajipa moyo ni sinema tu. 4
  • @
    @rasnchimbi3 years ago Hii issue ni kama vile imetengenezwa hata walokamatwa wametengenezwa ili kutisha watuunaweza kutwa walipangwa. 5
  • @
    @nyamangaking66083 years ago Kwenda rahisi kutoka baada ya 10 years. 1
  • @
    @whatisthetruth.87933 years ago Yangu macho tuu na kucheka kwa sasa wangapi wamewana.
  • @
    @bennpetter52493 years ago Kuna mmoja nimemuona anatoka nduki huyo. 7
  • @
    @aishatarimo67803 years ago Mateso yakizidi sana jua freedom inakaribia polen sana mlio kaatwa.
  • @
    @geofreysenka70913 years ago Nchi toka aondoke magufuri imekuwa hovyo.
  • @
    @joojombi23413 years ago Wapumbavu wakubwa hao bhana kwani mbowe ndo nani ktk dunia wangapi wanapelekwa mahakamani hao ni kivuruge tu tzd. 5
  • @
    @samorasilayo89243 years ago Kutafuta haki lasima tujitolee ili wengine wapate haki watz tuamke. 2
  • @
    @nassorseif45793 years ago Haya mambo tuliyamis kitambo bora yarudi kidogokidogo. 1
  • @
    @sallahsultan24043 years ago Mbele ya camera wanachkuliwa kistaarabu ngaja wafike heehee.
  • @
    @zaitunibashiri99623 years ago Mambo mengine bn me siyafanyi bora nkatafute ugali wang wa kila siku.
  • @
    @magechuwa8043 years ago Wanapewa tahadhari bado wanajiendea tu na kuambukizana korona. 1
  • @
    @mzalendomzalendo25673 years ago Maskini wa akili hawa, mbona hatumuoni mtto wa mbowe front line. 8
  • @
    @gracekagoma32313 years ago Washenzi hao. Fukuzilia mbali. Shika adabu. 2
  • @
    @godwinmwakibibi2743 years ago Wanataka kiki za ustaa wameshapata maan wameonekana kweny kioo tayar. 2
  • @
    @beaugosseadam68313 years ago Haya mabarozi wa marekani, ubelijiji, ujerumani na taasisi zao waachane na matamko yao, waje wawatoe mikononi mwa polisi. Tuoni! Peter msigwa, heche, id="hidden5" fatma karume, sarungi na catherine mbona sijawaona wakiongoza maandamo?. ...Expand 4
  • @
    @learnselfdefense7653 years ago Kweny bodi watulivu utadhani wanafanya utafiti wa ukimya wengine hawa amini kama ndo wamekamatwa sasa cjui family inakuwa imeachiwa matumizi kabisa au?
  • @
    @charlesmihuwa62873 years ago Kwa uwelewa wangu mdogo
    naona kama kweli unauchungu na mbowe ni sawa ila kama unampenda ki u kweli nenda mahakamani na ushahidi wako ili umtetete tu mimi naona aijakaa vizuri sana. Na njia ya mwongo waswahili walisema ni fupi lazima kweli hapo kuna shida kwa asilimia 100% kwa mbowe au serikari sasa
    wewe na mimi hatujui tuache wenye ushahidi tuone. Ukiumizwa mfano hapo ndio itasaidia nini? Mbowe kuachiwa au?
    .
    ...Expand
    6
  • @
    @suleysafari35353 years ago Unakamatwa halafu kumbe kesho yake ulikuwa na dili la pesa nono. Huu ni uwehu kabisa. Mteseke nyie wachache wawili wajaze matumbo yao. 4
  • @
    @timboxlee9193 years ago Askari piga hao wazulaji, hawana kazi ya kufanya. 1
  • @
    @chondebabatz54773 years ago Yani police maboyaa kwelii yan sasa hao wamefanya nini machoko kweli. 1
  • @
    @suleimansalim71943 years ago Tatizo la polisi wa tanzania hawana kazi xa kufanya. 1
  • @
    @d.a.t33833 years ago Hivi ma polisi wote ni ccm hakuna wa chadema cuf na a vyama vingine tuu. 1
  • @
    @pendopendokimathkimath12183 years ago Polic mnalana gani nyie mnatufanya tupo sudani kweli mtalipa maumivu yetu. 1
  • @
    @khamisimashaka423 years ago Yaan kam amjui walio kamatwa nia askari wenzao wanajifany chadema ila we boys uingie wakule kichwa hahaah tumestuka hamtupati.
  • @
    @SamsungGalaxy-kx2zj3 years ago Hakika tunalishukuru jeshi la police kutuliza fujo ya walala hoi.
  • @
    @siginganzi3963 years ago Yaan tangu manara aikane simba simwamini mtu, saiv natafta ela nile na mke wangu nawatoto, uko chadema au ccm nawaachia mbowe na samia, atakae kuwa raisi . ...Expand 11
  • @
    @upendonzovu20273 years ago Bora aliyekimbiaga tanzania akaenda zake nje. Hv kila wkt kutafuta bifu na serikali ndo nn.
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Wale mnaolia mara tozo mara chanjo hamtaki mara mikataba inasainiwa ovyo ndo nyie mnawachekelea wenzeni wanaomtetea mtu wao tambueni haya maisha ni gwaride tu.
  • @
    @selemankishema57803 years ago Police tembeza kichapo kwa wapuuzi hao. 2
  • @
    @iginaswida88733 years ago Mboe siogaidi serekari namaakama imuachie huru. 1
  • @
    @suleimanmohd.71973 years ago Askari wamekuwa na maadili sasa asante mama mana hakuna aliepigwa wala kubebwa na kuburuzwa.
  • @
    @shanelisessoa51973 years ago Kwasasa inatakiwa kufanya maamuzi magum zaidi dhidi ya. 1
  • @
    @mnubimnubi40813 years ago Polisi nanyi mnaboa hata kuwapiga kidogo watu wamekatazwa wanakuja si wamejitakia hao piga.
  • @
    @jonasmaganga74333 years ago Kazanen kuandamana mi majukum ya kifamilia yananikabili nawaza nitokaje siyo nipigwe kwa ajil ya tumbo la mtu nilikuwa mkeleketwa sana wa cdm mwaka jana . ...Expand
  • @
    @gideontebuye53293 years ago Ndoo mliyataka hayo, sasa ambao wako uberigiji wanawatoaje hapo? Na familia zenu vip, acheni ujinga mkionywa muwe wasikivu.
  • @
    @nassoropigauwa25033 years ago Ii ni dunia uonevu uu ipo siku mtaulipia nyie askar wat hawana uhuru haki ipo wap nn maana ya uhuru au ni ushenzi tu.
  • @
    @victorkivuyo61263 years ago Ukishaonywa na mkuu wa usalama usiandamane wewe unaenda hicho ni kiburi waziri mkuu mstaafu alsema ukikaidi amri ya polisi ni kupigwa tu tena bahati yenu . ...Expand 2
  • @
    @dorahy15793 years ago Mbona wanakimbia? Kwanza hapo ni watu njaa tupu wanasumbula bure mwisho washikwe ba corona bure. 2
  • @
    @mjubachuga75603 years ago Hawa ni chadema kwel mh, nna wasiwasi, mbona wanajiraisisha kupanda, et wanakimbia kulizungika gari then wanapanda wanaka kwenye kiti mh, tumezoe kuona . ...Expand
  • @
    @mathayonyerera31443 years ago Ww askari fikiria leo una nguvu kisa mshahara ukitumbuliwa unaanza kulia na ss! Na bado watu watakulipizia kisasi!
  • @
    @afyachamber77053 years ago Leo unalala mahabusu kama unafamilia umeiacha hainauandamane analala kwenyekumkichwa.
  • @
    @emmanueljoseph25763 years ago Mmekosea mngekuwa na msimamo hapo ningewaelewa maaskari wana kuja wote mnasema miguu nisaidie si mngebaki tu wote pengine wangewaacha kama umeandam id="hidden13"ana bila uoga na unajua unaemtetea hana hatia why mkimbie wote mtakuja kufa bure kaani kwa kutulia hii inchi ina wenyewe sisi wanyonge ni kama panya tu mda wowote tinaliwa na paka. ...Expand 7
  • @
    @dynesssteve75323 years ago Sasa siwazungumze yaishe ndio kufanyiana hivyo kama nyie mtaishi milele tendeni haki jaman.
  • @
    @gideontebuye53293 years ago Asikali wanakamata watu hata corona hawaogopi.