Duration 5:30

AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU AKIELEKEA MTONI KUOGA KISA MAPENZI WENGINE WADAKWA

1 686 watched
0
5
Published 21 Jun 2020

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo wivu wa kimapenzi. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ACP. Muliro Jumanne Muliro amesema kuwa katika tukio la kwanza katika kitongoji cha Bukelebe kijiji cha Kanyama kata ya Bujora Wilaya ya Magu mkoani humo alikamatwa Bw.Tubeti Matiko (24) mkazi wa Kijiji cha Kanyama Kabila ni Mkurya anayejishughulisha na ufundi Ujenzi kwa tuhuma za kumuua kwa kuchoma na kisu kifuani na kusababisha kifo Bw.Mahige Chacha(24) Mkurya ambaye pia ni fundi ujenzi na mkazi wa kijiji cha Kanyama mkoani humo.

Category

Show more

Comments - 1