Duration 2:2

Story Fupi ya Fred Vunjabei/Biashara Yake ya Kwanza (Part 1)

554 watched
0
3
Published 28 Mar 2021

Fred Vunjabei ni mfanyabiashara mashuhuri Tanzania ambaye kwasasa ni mtu maarufu na aliyefanikiwa kutokana na maduka yake ya Vunjabei yaliyopo sehemu mbalibali. Ila Biashara ya kwanza ya Fred sio ya nguo ambayo ndio watu wengi wanaijua. Stori ya Fred Vunjabei inatufundisha kuwa watu wakuthubutu.

Category

Show more

Comments - 2