Duration 2:15

WAZIRI JAFO AWAMWAGIA PONGEZI TBA KAGERA ''HAPA MMEFANYA VIZURI NA WENGINE WAIGE KUTOKA KWENU'

63 watched
0
2
Published 6 Jun 2020

Waziri wa nchi ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa mh, Selemani Jafo amempongeza meneja wa TBA Kagera kwa kusimamia vizuri ujenzi wa miundo mbinu ya elimu mkoan humo mpaka kukamilika vizuri na kwa wakati katika ubora unaohitajika huku akiwataka walioshindwa katika mikoa mingine kujifunza kwao.

Category

Show more

Comments - 1