@abdulhalimhumud19174 years agoMr mata nakubali kazi yako hongera mzee. 3
@
@utapatatabusanautanyooka26004 years agoMtangazaji watufunza vitu vingi kaka huna muda naintaviu zamjin fanyaz twakusapoti kaka. 4
@
@fasanitzfasanitz96314 years agoLeo kavideo kameng' aa yes uwe unapo edit unaongeza na color grading. 6
@
@latifaabdulla14294 years agoNikiwa oman nakufatilia asante kwa ukumbusho.
@
@babyboss28864 years agoSilent follower nimeamua kurusha comment leo kazi nzuri dm. 3
@
@omarynamara13394 years agoAisee nimeipenda iyo, eti nimewaaribia starehe yenu my god nahisi dushelele halikusimama tena kwa woga. 2
@
@simongustaphshayo79474 years agoKwa kweli ukiambiwa mtu ni mke wa mtu achana naye kiroho safi. 1
@
@salmasoso98394 years agoKama kwako huna wasi ah davistar bhana umenikumbusha ile ukamwagwa, ukaachwa. 4
@
@jacklineakoth10164 years agoNi comet namba yangu ama niache tu? Sababu mm no wa kwanza leo. 6
@
@Hassanmofty4 years agoUjajinyea kweli mana kufumaniwaa si mchezoo. 3
@
@shebaminde76564 years agoJamaniii mmeniwahi tena na leo? Lakin sijachelewa sana mlio niwah kulen like. 14
@
@msaliwapilimsaliwapili2774 years agoDaah uyu jamaa kweli mwamba tena mwamba geu mke wa mpemba tena mganga daah kweli narudia uyu mwamba.
@
@carolinetalam58324 years agoAma kwa kweli sikio la kufa halisikii dawa +254. 3
@
@nikyhassan78294 years agoLeo nimejifunzakutuletea mikasa hili tupate kuelimika zaidi. 1
@
@zeddybass66724 years agoVya kuiba vinakuaga vitam. Ila mwisho wa siku uchungu mwingi.
@
@abdulrahmanhassan92544 years agoDah huyu dogo ana roho ngumu kweli, umeonywa mara 3 isitoshe ni mganga lakini ulikataa kusitisha mahusiano na mkee wake dah. 7
@
@chidiomari.654 years agoDuh uyo dogo ni balaa kuonywa kote huko lakin bado. 1
@
@munnawwary7574 years agoMackin baba wa wat mtu na haki yake anaomba msamaha kwa kuharb stareh za watu. Pole san hayo ndio madhara ya zinaa turud kwa mung. 2
@
@kiri58073 years agoHuyu alikuwa hataki kujituma akaamua kulelewa na wake za watu.
@
@florachuwa3014 years agoMwenye mume alikua kweli na busara. Mwema. Ila we mwanakuyataka ulishupaa shingo kwa ujeuri. 1
@
@babarahmababarahma604 years agoMata utanilipa kiasi gani kwa maana hata mm nina story yangu nataka niiweke mbele ya kioo upige pesa.
@
@aishachambo32934 years agoWanaume wanaopenda wake za watu mwishi wake lazima wafumuliwe marinda. 1
@
@alifujo41534 years agoHuyu kama ni mm ningemuulia mbali mara zote nakukataza uwachane na mke wangu wanileteausingeifanya hii.
@
@youngyayoo28054 years agoWewe ni fala sana, sijawai ona mwenzako bro.
@
@ayshamahariq66654 years agoShkuran sana bro davistar watuelimisha ila huyo jamaa nae aache. 1
@
@salmasoso98394 years agoFrom oman free wi-fi davistar hii ya leo to much but tunajifunza. 15
@
@hajiabdalla57724 years agoHao wengine waongo mana huo urefu kumpita punda kawaida ukiwa mzinifu huwa huna haya wala aibu unakuwa kama mnyama kwa lana. Na hao watu wapole na wakimnya na wastaarab bas ni hatar waogope watu hao. 2
@
@ibrahimrukundo30644 years agoHata namimi sipendi ugonvi naweza pitia hatuwa za maongezi kwanza kama alivyo fanya huyo mpemba. 1
@
@africandarling69254 years agoEee we du ulikuwa mkaidi wewe kijana duuulikuwa unatari kweli mmh. 2
@
@gharibislam15864 years agoJe ingekuwa ni mamako mtu anatembea nae ungesikia raha? Kama si mke wako ama watoto wako ama mamako iko siku utakuja fanyiwa.
@
@rashidjuma1444 years agoKijana bora utafune pilipili kuliko mke wa mtu. 1
@
@zingahassan58514 years agoNice work bro mata. To fellow man let us style up. 1
@
@gosbertmuta54213 years agoIla davstar una macho mazr sana, yani ulivo hv ungekutana na mm ningekushauri kitu maana unalipa na unafaa kupgia pesa haya macho.
@
@avierastevens51414 years agoKama kwako unajiachia tu. Mwingine hapomajengo ya hospital. Mmoja kisutu na mwingine mwananyamala mochwari.
@
@ahshbsbx29914 years agoMbona hii sautii naijua uitwii alli wee ujawahii kuja omanii kwelii mbona kam nakupat broo.
@
@loner_wolf4 years agoUkisikia mpemba katajwa ujue baadae kunamovie tu.
@
@ayshamahariq66654 years agoLeo nmewa mchana braza davistar nasubr part 2 kwa ham.
@
@demitrahawkins54574 years agoMara ya kwanza. Ya pili. Ya tatu! You should have known that the danger involved would have been deadly! 9
@
@annajoseph99554 years agoWanawake sie nao dah umeolewa lakn unachepuka tena unamleta mwanaume kwa kitanda cha mumeo loh uzinzi mwingine sio poa. 10
@
@barbranabakooza95894 years agoDuuh dgo kauzu huyu hhh we unadili na wake za watu tu wakati videmu viko kibao duuh mpaka kwa shekher wa utabibu.
@
@wazirimohammad77874 years agoStaili yako kijana ungetafuta wako wahalali yasingekupata hata sikupi pole nawengine wachukue funzo.
@
@hamidaalhabsi85684 years agoAa amakweli ulijiamini sana mtihani jamani wanawake mlio olewa kwa nini hamriziki na waume zenu kudanga kunafaida gani.
@
@allykutenga28624 years agoSasa kimeendelea nn? Coz inaonekana kama kuna ki2 kitaendelea cjui talaka lkn ndo afanye yameisha tu! 2
@
@saeedmugandja41874 years agoHahaha mtangazaji na wewe noma yani sasa ni mstaafu.
@
@maxjofrey82984 years agoYani nibora angekuhuwa we mkeanaumanyie yani mi naghalamia alafu mtu ajekilahis tu haisee jela hinanihusu kwakweli.
@
@allycarzola90254 years agoBro uwe unazipandisha zote kwa pamoja kama vp. 1
@
@saidjuma254 years agoMademu wote walio ja unajifanya kidume mpaka utembee na wake zawatu.
@
@SamsungA-su2qj4 years agoEndelea kuchezea wapemba uone kitu kitokukuta.
@
@joyanambuya36954 years agoNa ss wanawake tujifunze ushaolewa kwanini utulii na ndoa yako wahitaji kimada tuache jamani haya mambo.
Related videos for PART1KIJANA ANAETEMBEA NA WAKE ZA WATU YAMKUTA MAKUBWA/AKANIROGA UUME UKAWA MREFU KUFIKA MIGUUNI:
kazi nzuri dm. 3