Duration 2:13

SHERIA INAYOITAKA NaCONGO KUFANYA UCHAGUZI HII HAPA

42 watched
0
1
Published 7 Jun 2021

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, alipotoa tamko la kuunda Kamati ya mpito ili kuhakikisha Baraza la Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCONGO) linafanya uchaguzi wa viongozi.

Category

Show more

Comments - 0