@jumanneissakwakala18813 years agoHiki kipindimh polepole, siyo shule tuu. Ni shule + chuo kikuu. Hongera sn mhe polepole. 48
@
@kankukelly6143 years agoHongera comrade pole. Huo ndio ukweli mtupu ambao tunatakiwa kujifunza sisiya porojo nyingi. 12
@
@jeanboscomunyarurembo34903 years agoShule ya uongozi ni nzuri saana kwa vijana na waongozi wukomhe pole kwa kazi nzuri ya kizalendo. Naombe ugombee urais. Watanzania wanataka mzalendo wa kweli kama magufuli. 6
@
@peterlot20503 years agoMh. Polepole, hili kipindi kinasaidia sana zaidi ya kipindi kilichopotea cha papo kwa hapo. Hili nacho ni chuo kikuu. Ubalikiwa na mungu. 5
@
@rutindikarwoganyanja94363 years agoMbone baba yetu magufuli hakuenda kwa wale wizi. 11
@
@jumaally89943 years agoSafi sana mh polepole mzee wetu jpm amefanya mambo makubwa bila kwenda kuomba misaada ya ajabu. 3
@davidkwisi82313 years agoMimi naomba sana tusirudi kwenye kipindi cha awamu ya nne kuanza kuabudu nchi kubwa za magharibi. Hilo tatizo ni ugonjwa mkubwa sana. Hatuhitaji kushikwa. ...Expand14
@
@humphreyngallawa56303 years agoTupo pamoja wajina, upo vizuri, damu ya yesuyote iwarudie wao. 4
@
@williamkavavila6083 years agoOoh, comrade polepole, mungu wetu akupiganie maisha marefu yenye afya. Kwani una maono yenye nguvu ya roho wa bwana. Amen!
@
@kuntakinte73393 years agoWewe ni mwanafunzi mtiifu uliefuzu kuchota akili pendwa na akili sana, kutoka kwa mh, hayatiwaelevu. Hongera sana mungu akulipe hustahilicho. 4
@
@jaredyndaga46173 years agoPolepole yupo vizuri sana aendelee tu kufundisha huyu ndo mzalendo haswa. 24
@
@ustadhabdulkariimpuma89533 years agoNamuona mfalme ndani yako. Mungu akusimamie. 1
@
@sharifatutu21583 years agoHawa ndiyo watu muhim waliyobaki aliwaacha magufuli. 18
@
@amosedward43263 years agoManeno makini sana kiongozi endelea kuamusha watu fikira. 3
@
@ashuramhando52853 years agoMama yeye kasema ameenda kurudisha mahusiano na wazungu mahusiano yaliyopotea uongozi wa baba mungu amsimamie huyu mama asiendelee kuchotwa akili na wazungu. 3
@
@asifiwevincent27333 years agoUme sema kweli; hakuna mazuri toka kwa inje. 1
@
@alphonceelias25513 years agoMabeberu ukiona wanakupongeza na kukuletea msaada uwe makini sana na hawa watu. Mzungu yeyote ni mnafiki tu. 3
@
@gynae84073 years agoPolepole unanikasirisha unapomtaja huyo mtali sipendi hata kusikia kabisa. Naomba jina moja tu. Litajwe la uncle magu. 1
@
@cosmasdaud90883 years agoPolepole upo vizuri sana kiukweli dunia ndio ipo hivyo inacheza na akili. 2
@
@deogratiasmathias79593 years agoJamani tunakoelekea ni pabayakurupatia elimu polepole. 2
@bahatebahate54273 years agoUpo vizuri sana. Lakini nashindwa kuelewa hawa viongozi wanaona nchi za magharibi akiri zao hazina akiri. 3
@
@henrymhema31013 years agoUbarikiwe mtumishi maana tanzania inaupungufu mkubwa sana wa watu kama polepole anayeweza kusimama bila kuogopa akasema kweli yote bila kuogopa.
@
@burundibwizacetribea9953 years agoMimi napenda vijana wanao na oganic akili kama wewe, na wanavyotumia akili zao kufikilia mema kwa africa. by the way, ebola ilitengenezwa ili wauwe. ...Expand19
@
@yusuphsanga44293 years agoSafii mweshimiwaa naisi wenye akili ya vyeti nao wapate kuelimika.
@
@allymwailogwa83642 years agoKwa kweli hii shule ilikuwa muhimu sana kwa afrika sijajua kwa nini wslikufungia.
@
@saynabmohammed62633 years agoHuyo mama hawez kujiendesha mwenyewe ataweza kukopa maden nchi imali nyingi tu.
@
@kamanda0073 years agoNakubaliana na swala la mbegu za kilimo, tuna research institution kama sua, uyole etc zifanye kazi then tuzalishe za kwetu la sivyo tutakuwa watumwa. 1
@
@hajingangila15583 years agoUpo nyumbani kuelimisha family asiye kubali hapo ni wale fundisha wakuelewe. 6
@
@cytkl3 years agoMwafrika alirogwa na yesu mzungu anaamini yeye ni mtumwa. 5
@
@abuusahya61303 years agoHuy mam mm siitaki hata kusikia sauti yake.
@
@linusdavis90723 years agoTunaomba ugombee uraisi kaka tukupe kura zote. 1
@
@petersilas42343 years agoKwa hili la sukari tuwe waangalifu kwani kuna uwezekano wa kupitishia zanzibar. 1
@
@mohamedimwinyi87773 years agoKweli ni ujinga nakesho mbele ya mungu watajibu na wataukumiwa.
@
@samuelmussa48093 years agoHapo pa jpm na. Mmh hapana sema jpm tu.
@
@eliabuedward87553 years agoTanzania ya sasa si kama ya zamani, tanzania ya sasa watu matumbo yao kwanza. 1
@
@micamathew25953 years agoHuyu maza bana mi simpendi coz tayari ni tegemezi.
@
@raybirry38163 years agoSamia kunja hawa samaki wangali wabichi, wanakupinga sana. 1
@
@braystuskibassa38423 years agoTumekwisha aisee hao utasikia kama unataka msaada kubali ushoga leo viongozi wetu tunawapigia magoti mbaka lini.
@
@papaahansmo11293 years agoWadau wa katiba mpya tugonge like hapa.
@
@misalabamisalaba50753 years agoYaan kati ya nchi ambayo siipend kuliko zote usa kwa kweli binafsi nikiwa rais ni zaid ya kimjon un. 2
@
@safinatourssafaris25193 years agoHuyu mama kashapoteza nchi, kwani angetulia tu hapa nchini, kingetokea nini, kwa nini hatuliii.
@
@ramosfally23183 years agoJamaa anongea point ila musimpeleke kuzimu jamani angalau 2025. Apewe kichewo kidogo. Nexty nyerere na magufuli ndani yake.
@
@fidelisinnocent75163 years agoSio waonevu tu wahuni saana hawa jamaa wazungu basi tu.
@
@doricekajuna61853 years agoPole tunakuombea, unatupa elimu kama jpm, alivyosanaa.
@
@hamismfaume49253 years agoPolepole na rafiki zako hatuwataki habari zenu kutolewa madarakani tu hasira.
@
@bahatimohamedi7203 years agoWewe ndo pekee umeback mushika ufunguo wa magufuli.
@
@doctorzero-dj5xg3 years agoKutokana na tunavo kutegemea bora ukae kimya! Tusije tukakupoteza. 1
@
@mussaelisha37333 years agoPolepole amerudi kama ezi ya katiba yuko poa sasa ivi nakuamini ila ulipotea ezi ya jpm.
@
@mohdshebe56403 years agoSasa darasa hili sisi wananchi wa kawaida lina tusaidiaje, maan hao wanaingia mikataba na hawo wanyonyaji akina nani na wewe ndio mtunga sheria jmni?
@
@josephjulio61122 years agoMimi naomba mungu putin achinje mtu haraka.
@
@jonaspatrick28713 years agoNaona mama yupo na mkwepa kodi. Kama tony blair anakwepa kodi kwao atatusaidiaje sisi kama sio yupo kwa maslahi yake.
@
@raybirry38163 years agoAnachosema kinyume nyume ni kwamba samia hajui atendalo.
@
@lawcompsl75103 years agoUnaongea zaidi ya ukweli. Haya ndoo yanaoendelea africa tutaishini kwamba, hatuna raisi africa anaye akili za kiasi.
@
@jonaspatrick28713 years agoUngetoka humo ccm ukaanzisha chama chako na wenzako tungewaunga mkono sanaa tu, jpm ameacha vijana mlioiva, ccm inawapull down.
@
@unclesymonymwaki9583 years agoIla unapomtaja j p m usimtaje huyo mwingine.
@
@fakihdarusi43853 years agoSawa lakini wee je? Umefanya nini ili tusiwe tegemezi? Mana kama pia ungekuwa tz unaipenda sana ungerejesha warioba katiba.
@
@petersilas42343 years agoBenki ya dunia na imf zimebadilishwa na wachina. Ujio wa china imebadili uchumi wa dunia. Tujue jinsi ya kwenda na hali mpya.
@
@ulayaz3 years agoAcha upumbavu, unafiki na uchu wa madaraka ndio unaokusumbua.
@
@abuyunusmohamed69613 years agoPolepole wakati wa magufuli ulikuwa mpole. Sasa umekuwa msemaji mkuu wa chadema na kuwa mkali. 1
@
@robertbutahe28353 years agoTatizo lanikuangalia mambo upande mmoja wa shilingi! Kusoma chuo kikuu ni kitu kimoja na kuelimika ni jambo jengine.
@
@errydeo88653 years agoTukitumia rasili mali zetu ipasavyo, we dont need them! How we can be self reliant! Samia hana vision at all.
@
@raygamba1743 years agoMbona kwenye madini ni wao ndio wawekazaji, kipindi chote cha magu mbona hukufungua mdomo? Tanzania raha saana ukitaka madaraka we anza kuanzisha harakati. ...Expand
@
@engzuberir.akilenza17643 years agoHuyu jamaa kukosa cheo kunamtesa sana. Na hataki kuamini kama jamaa hayupo tena duniani.
@
@hamadsuleiman51773 years agoProblem la hii yuotube channel inapotosha watanzania kwa sababu huyu mtoa post hajawahi kumsema vizuri huyu mama hata mara 1 kazi yake ni kupotosha tu. ...Expand
@
@hemedjackson22613 years agoSs hiz longolongo mjomb zot zimekuj baad ya kuvuliw uwenyekit wa fitna wa chama wkt ww ulikuw nd unojib masuala ya chama wkt ule kweli wanasias njaa wot.
Related videos for Polepole: Marekani mama ameenda kuonana na watu hatari waporaji wa mali za Afrika:
by the way, ebola ilitengenezwa ili wauwe . ...Expand 19
mwenyewe ataweza kukopa maden
nchi imali nyingi tu.