Duration 9:13

Jinsi ya kupika chapati laini (chapati za kuchambuka)

30 465 watched
0
543
Published 28 May 2019

Unga wa ngano vikombe 2 Mtindi nusu kikombe Maziwa ya unga robo kikombe Maji kikombe kimoja Sukari kijiko kimoja Chumvi kiasi Samli ya kukandia vijiko 3 vya mezani Baking powder kijiko 1 cha chai Samli kwa ajili ya kuchomea makisio

Category

Show more

Comments - 95