Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine
Leo natumia majani ya chai kuweka kwenye nywele zangu ili ziache kukatika ovyo ovyo.
Majani ya chai meusi yanasaidia sana kukuza nywele na kufanya nywele kuwa vizuri.
Hakikisha unajaribu kama una matatizo ya nywele 👍🏽😀
Video nyingine za nywele👇🏽👇🏽
Maji ya Mchele kwa kukuza nywele👇🏽👇🏽
/watch/oaiLvOrPwkXPL
Steaming nzuri ya kuweka kwenye nywele👇🏽👇🏽
/watch/wRrPj3ZfodpfP
Mafuta ya aloe Vera 👇🏽👇🏽
/watch/wDigJIXaoX_ag
Contact me on
Instagram: bariki.k
Email address for sponsorship or business only: bariki.karoli@gmail.com