Duration 7:27

MACHOZI | VILIO | KWIKWI KATIKA SAFARI YA MWISHO YA DR. DONALD KISANGA HAPA DUNIANI.

1 391 watched
0
3
Published 13 Aug 2020

Ilikuwa ni simanzi kubwa sana waimbaji na waombolezaji walivyomlilia mpendwa wao marehemu Dr. Donald Kisanga jijini Arusha. Dr. Donald alikua Rais wa waimbaji wa muziki wa injili Tanzania kupitia chama cha Tanzania Music Foundation na Mwenyekiti wa vijana Oysterbay, Kinondoni jijini Dar es salaam. Wimbo unaoimbwa ni waimbaji wenzake kutoka Tanzania Music Foundation na unapatikana kupitia link hii /watch/ApvJJYKBIDhBJ . Tunaomba radhi kama video haitakupendeza kutokana na ubora au mazingira. #tamufo #music #buriani

Category

Show more

Comments - 0