Duration 3:37

M3 band blacelet Unboxing

34 watched
0
2
Published 9 Sep 2021

Hii ni saa ya kisasa kabisa,(digital smart watch)ambayo inaunganishwa na simu yenye uwezo wa kupima hatua ulizo tembea,umbali ulio tembea,kukupa taarifa ya simu inayopigwa,messeji zote za whatsapp,facebook,instagram. Inapima mapigo ya moyo,inapima presha ya damu pia kama simu yako umesahau ulipo iweka unaweza kuitafuta kupitia saa hii. Ni rahisi ssana kutumia lakini piq ni nzuri sana #M3 band#Subcribe @Lebanon flower tv

Category

Show more

Comments - 0