Duration 9:28

Alikiba alivyo-perform Mediocre kwa Mara ya Kwanza - MBEYA

223 078 watched
0
5.4 K
Published 30 Sep 2020

Mediocre Download,Stream & BUY in All Digital Platforms! ►Smart link URL: https://ffm.to/mediocre +For More Information Booking Alikiba: Contact:emailalikiba@gmail.com Manager:Aidancharlie1@gmail.com Connect with Alikiba on Social Media: Instagram:https://Instagram.com/officialalikiba Facebook:https://web.facebook.com/OfficialAlikiba Audiomack:https://audiomack.com/artist/alikiba Twitter:https://twitter.com/officialAlikiba/ TikTok:https://vm.tiktok.com/ZSmuTQ2W/ Get More Song by Alikiba ►Alikiba (DODO) - https://ffm.to/dodo ►Alikiba (SoHot) - https://ffm.to/alikibasohot ►Alikiba (Mshumaa) - https://ffm.to/nmwnrd7 ►Alikiba (My Everything) - https://ffm.to/mo4kwoy ►Alikiba (Far Away) - https://song.link/i/1524299783 © 2020 Kings Music Records.All rights reserved.

Category

Show more

Comments - 1200
  • @
    @Wakulungwa_Tz554 years ago Nakubali king wangu huna mpinzani. Anae mpenda kiba like kwake. 10
  • @
    @tfhfoundation4 years ago Still on top king kiba. Last man standing
    big up from +254.
    2
  • @
    @raphaelmunga47254 years ago Always a king is a king salute for you brother. 8
  • @
    @francenicholaus70514 years ago King of music in tz kafunika xana alikiba naomba like zenu. 1
  • @
    @muhammadsaidi48724 years ago Ukweli ni ukweli tu kiba original body original voice and he is respect man na sio mlevi sio mvutaji bangi na si mvutaji sigara yeyote big up kiba kama kweli unaamini kiba ndio original king nipe like zako please. 31
  • @
    @mercy50884 years ago A king is uneasily replaceable, salute toto la mama kiba. 4
  • @
    @mikemcubic81814 years ago Kiba = talent
    diamond= hard worker.
    2
  • @
    @braytonysteven60614 years ago Alikiba the king kiba one lovee nakubari miaka kama yotee like. 1
  • @
    @gibonykiyao96984 years ago King zamunda. My favorite artist of all the time! 26
  • @
    @nabiijeconiafredy90874 years ago ni king bhana hakuna ubishi
    Ma fans wa kiba juuu then like
    7
  • @
    @royalphonce4 years ago This the real thing hakuna competition king kiba al the way. 1
  • @
    @raymondakiba51624 years ago Wonderful performance from the king himself. 6
  • @
    @joycesawenja38444 years ago We love u our king kibano matter what! Keep it up # much love. 10
  • @
    @mcjakababakenya49124 years ago Anatokea +254 mombasa kwalikes za team kenya jamani. 94
  • @
    @robertamos85154 years ago Kama ww team kiba unafurahia upepo kiba sasa hv gonga like. 32
  • @
    @albashirkombo83284 years ago King wazima hao wasio na roho safi kwako kongole kiba like zake king jameni. 1
  • @
    @OffcialKp4 years ago Much appreciate youu king kiba for really! 5
  • @
    @saimonny26n.cultural914 years ago Jaman kama umeona mediocre ameanzaa. Sera. 4
  • @
    @rigobertsong53684 years ago Nakubr bonge la jimbo wape vitu we ndo king. 2
  • @
    @maryamanalisi1974 years ago Jameni tuachee tu unafiki king yupo juu wallah penda ww sana. 5
  • @
    @officialshort-k71324 years ago Msanii wangu bora duniani alikiba king. 5
  • @
    @washyie46754 years ago All time king no argument, huyu ndio simba marara. Love from. 1
  • @
    @ohlalaboutique24814 years ago Mfalme wa bongo music ndiyo huyo hapo. Kwenye heshima zake na sauti ya kipeke alikiba hongera. 1
  • @
    @alicenice17114 years ago Nahisi kufakufa vile napo mskiya kingkiba sauti jamani ni. 1
  • @
    @halimapatricia58824 years ago Show kali mpk yanisimamisha malaika kiba for life 2
  • @
    @augustinomauki59694 years ago Aise mim mtu akinambia unajivunia nini kua mtanzania
    ntasema najivunia ni nchi ambayo yupo king wa africa alikiba.
    5
  • @
    @stevencharles54874 years ago Bigup xana kiba utabak kuwa king hakuna wa kufua dafu. 2
  • @
    @fasterwalker14644 years ago Kings music forever
    kiba tunamtaka marioo kings music.
    6
  • @
    @irenecriss50704 years ago Nimejiishilia kwa king mpaka namzidishia mteja pesa. 10
  • @
    @ruthemartin13074 years ago Aki ya mungu kiba nakupenda xna. Mungu akuweke blowd. 4
  • @
    @zakariamachibula4884 years ago Tuipeleke mpaka namba moja trendy anayekubaliana na mimi dodosha hapo chini niwaone time king' music. 4
  • @
    @pillyolsen83774 years ago Kiba upo vizuri sana kimziki sijuti kabisa kuwa shabik wako penda sana ww. 9
  • @
    @priscaoduor24684 years ago King ni mmoja tu from kenya king kiba. 4
  • @
    @jackstarboytigger64824 years ago King kiba wewe ni king wa music wa bongo like hapo.
  • @
    @lydiahmartinz9254 years ago Really lyk this dude. Hz dupe. No madiocore. Mtu kujiamini . 4
  • @
    @starwayafricatv50174 years ago Kingcha watu.
    toka miaka ya buku2.
    1
  • @
    @erickfrans23404 years ago Jamani kuna mtu anateseka kama amna like hapa twende sawa. 1
  • @
    @hamzahassan20794 years ago Leo tunawasha mshuma
    mbele yaznz med oka
    mkae mbali manaa utakua nimvumo 2 ladi kamazote mbio lazima.
    4
  • @
    @salmushhechi8754 years ago Jamani naumwa nipo hospital ila nimepat nafu team king kiba like zanu jamani japo 50. 200
  • @
    @yassinmohammed67564 years ago Noumaaumelilipulia huko hili chupa kali aisee. 4
  • @
    @godfreynyomi69013 years ago King kiba nibaraah unajua bonge lapumbu ili. 1
  • @
    @mkongafiber42854 years ago I' m amka aged 26from canada. Salute to king kiba. Pls like from tanzania. 11
  • @
    @sultancapello83004 years ago Bila masteg shoo lakani shoo imebamba kinoma kweri kizur kinajipromote chenyee. 2
  • @
    @sulleymtown64094 years ago Nan kaon ngom imetrending you tube ase no 39. 8
  • @
    @bakarimgeni54244 years ago Yee baba.
    mediocre wakae pembeni kidogo tuba jambo letu mwaka huu team kiba like hapa jaman.
    2
  • @
    @sulleimanraliy53854 years ago Kiba mbabe kiba noma sana kalimiliki jukwa inavyo takiwa vizuri sana kiba unstoppable king kiba. 10
  • @
    @dohaqatar75954 years ago Vazi la leosanaa. Then hiyo performance imeniuwa. King ww hatari sana. 4
  • @
    @shabanmagoti59254 years ago Niraha sana kumsikiliza mtu unaempenda king kiba. 46
  • @
    @luckynanciey67034 years ago Kingkiba +256. You got our loveza waganda wapi jamani. 35
  • @
    @amosratemo79584 years ago King kiba. Without you no bongo flavor afadhali gengetone. 6
  • @
    @robertcharity52874 years ago King kiba uko powa huna mambo mengi mzee kikubwa kutupa kichupa kipya mzee kama icho mediocore kipo powah sana tupe kingine zaidi ya icho mzee. 1
  • @
    @jakayajuma98674 years ago Mbeya mmejua kinifuraisha ccm for life. 1
  • @
    @wickliphkajogo73203 years ago Yaan unapendwa kila mkoa hapa tanzania king kiba oyee. 1
  • @
    @twahirumtunguja41364 years ago Wooote tuseme jesh la mtu mmojaa ndan ya mbeya king miuzc. 1
  • @
    @zaiiomary89704 years ago Mbeya wameinjoy kumuona alikiba wetu uwii wana mbeya tujuane ye baba. 5
  • @
    @lilbobi23474 years ago Mfalume aki sema nyiwote kimya namusikize yebabato. 15