Duration 12:52

Sakata la Waislamu RC Mghwira 'amtumbua' mtu akiwa Hospital

91 693 watched
0
272
Published 1 Nov 2018

RC Anna Mghwira 'amtumbua' mtu akiwa Hospital !! Lile sakata la Waislamu wa Misikiti Mitatu kuandamana na kuelekea katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Hatimaye matatizo yao yamepatiwa Ufumbuzi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, kufunga safari na Kwenda Wilayani Hai kutatua Mgogoro Huo. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi Anna Mgwira Amefunga safari hadi wilayani hadi kwa ajili ya kwenda kutatua mgogoro wa umiliki na uendeshaji wa Shule Modio Islamic High school na Modio Primary zilizojengwa na Waislamu wa misikiti ya wilaya ya Hai. Mkuu wa Mkoa alichukua uamuzi huo mara baada ya Kusikia kilio cha waislamu walioandamana siku ya jumatatu ya tarehe 29/10/ mwaka huu kuelekea katika Ofisi za mkuu wa Wilaya ya hai Boma Ng'ombe. Mkuu wa Mkoa alitoa nafasi ya kusikiliza hoja za pande zote mbili wanao lalamika na wanaolalamikiwa Mara baada ya Kusikiliza Pande zote Mbili Mkuu wa mkoa Aliamua Mwenye kiti wa sasa kusimamishwa kwanza na kuundwa kwa Bodi nyingine ya usimamizi wa shule hizo Waislamu wame mshukuru mkuu wa mkoa kwa Kuchukua maamuzi hayo yaliyo ungwa mkono na wengi waislamu SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 110