Fahari ya Made in Tanzania kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha Imetengeneza madaraja na wafanya biashara wakubwa mpaka wadogo. Tunashukuru sana kwa wafuatiliaji wote wa #MadeinTanzania, mwaka 2021 tutaendelea kuunganisha madaraja katika bidhaa za Kitanzania na kuonyesha Bidii za Watanzania katika Uzalishaji.
Usiache Ku-SUBSCRIBE Xtreme Media kuendelea kupata shows mbalimbali zenye kuelimisha na kukupa maarifa zaidi.