Duration 1:28

Stori za Soka: Hili ndilo usilolijua kuhusu usajili wa Zinedine Zidane katika klabu ya Real Madrid.

281 watched
0
2
Published 12 Jun 2020

Nyuma ya Pazia: Jinsi uhamisho wa Zinedine Zidane ulivyokamilishwa na kuhamia Real Madrid akitokea Juventus kwa ada ya Euro Milioni 76. Ilikuwa ni katika mwaka 2001, kipindi ambacho Rais Florentino Perez alianza kutekeleza kampeni ya muda mrefu ya "GALACTICOS"

Category

Show more

Comments - 1