Duration 26:43

MEDICOUNTER: UTUNZAJI WA KINYWA NA MENO KUJIKINGA NA MARADHI NA HARUFU MBAYA

16 142 watched
0
91
Published 30 Nov 2018

Watu wengi wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kutoa harufu isiyoridhisha kwenye vinywa vyao huku wengine wakikabiliwa na magonjwa mbalimbali ya kinywa. Nini chanzo cha matatizo haya na nini kifanyike kujikinga nayo. Msikilize Dkt. Huzeia Teherali wa hospitali ya Aga Khan

Category

Show more

Comments - 22