Mambo (6) ambayo mwanaume anapaswa kujua kuhusu mwanamke:-
1.Moyo wa kila mwanamke una kiu ya kupendwa
2.Mwanamke anapenda vitu vidogo vidogo ( Intimacy)
3.Kila mwanamke ana kiu ya kushirikishwa.
4.Mwanamke ni mtu wa hisia.
5.Mwanamke anapata maumivu makubwa kihisia.
6.Mwanamke hapendi sifa za watu wengine.