Duration 6:27

Yuca Con Mojo (Cuban cassava with Garlic Sauce With English and Swahili Subtitles

664 watched
0
11
Published 6 Jul 2021

#yucaconmojo #cassava #mapishi #africanfood Yuca Con Mojo (Cassava With Garlic Sauce )* *Muhogo na rojo ya Thomu* By Laylunnar Mohamed *Mahitaji* 400g Muhogo fresh au frozen, unaweza kupika kile kiasi unataka Chembe 3 au zaidi za kitunguu thomu, kisha zipare au twanga ndgndogo 1tsp cha maganda ya chungwa para ndogndogo, kisha kamua juice yake kama 1/3 kimombe cha kupimia . Dania kisia kata ndogondogo Kitunguu maji chekundu ki1 size ya kati kisha kata slices nyembamba Mafuta ya alizeti (zaitun🫒,olive) 1/4 kikombe cha kupimia 1tbsp siki nyeupe isokua na spirit (Halal) Pilipili manga Pilipili ya chenga Chumvi *Mataarisho* 1..Menya muhogo kisha kata vipande vidogo, kosha vizuri kisha weka ndani ya sufuria na maji ya kutosha, weka jikoni uweke na chumvi kiasi, pika mpaka uwe laini umeiva, epua mwaga maji yote ma uufunike uzuri uwe fresh. 2..Chukua frying pan weka mafuta ipate moto kdgo mimina vitunguu maji ukaange ijilainishe tu visiwe brown, eka thomu na maganda ya chungwa nusu kaanga, kisha mimina juice ya chungwa, chumvi na dania nusu. Eka Pilipili manga na ya chenga utakavotaka wacha ijipike kwa dkka 7 moto mdogo alafu epua. 3..Mimina Muhogo kwenye sahani kisha mwagia ile sauce yako juu uzuri kote . Nilikaanga fillet ya kuku mbali kula pamoja lkn unaeza kula ivoivo. Ukipenda mwagia ndimu kwa juu na extra Pilipili wakati unakula. Nili Enjoy chakula kitamu sana kutoka Cuba. #YT:Laylunnar Delicacies #IG:Laylunnar_food #Fcbk:Laymoz's Zenji Delicacies check this video on how to peel cassava /watch/YM_-0yRTh-5T- Angali video hii jinsi ya kumenya mhogo

Category

Show more

Comments - 2