Duration 12:8

MGOGORO wa TANAPA na WAFUGAJI, RC Atoa MSIMAMO MKALI - UKITAKA JINYONGE, SHERIA HAIBADILIKI

3 121 watched
0
14
Published 1 Feb 2021

MGOGORO wa TANAPA na WAFUGAJI, RC Atoa MSIMAMO MKALI - "UKITAKA JINYONGE, SHERIA HAIBADILIKI" MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametupilia mbali kilio cha wafugaji wanaodai kupata wakati mgumu kutoka kwa TANAPA Ambapo wamesema kuwa TANAPA Wamekuwa wakichukua mifugo yao hata kama haipo ndaini ya eneo la hifadhi. RC Chalamila amesema kuwa sheria ni lazima ifuatwe na kwa yeyote ambaye hatafuata sheria basi atakuwa na wakati mgumu kwani sheria haibadiliki. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 1