Duration 2:19

BABA AMCHAPA MWANAYE WA MIEZI SITA MPAKA KUMSABABISHIA KIFO.

68 watched
0
0
Published 28 May 2021

Polisi mkoani Mara inamshikilia mtu mmoja aitwaye Manyama Masinde Mjora mkazi wa Kwangwa B Manispaa ya Musoma mkoani Mara kwa tuhuma ya kumuadhibu mwanae mwenye umri wa miezi sita na kumsababishia kifo.

Category

Show more

Comments - 0