B dozen Afunguka kufurahishwa na Msanii harmonize kwa Makubwa ambayo anatarajia kufanya mbeleni ikiwa Tamasha lake la (Carnival) ambalo anatarajia kufanya mwaka huu kujua Haya na mengine mengi angalia full interview
Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ku subscribe ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje ya Tanzania
Tu follow katika ukurasa wetu wa instagram Bongo Trendy tv na ku like facebook page bongo trendy online