Duration 5100

WAGONJWA wa CORONA Waongezeka TANZANIA, Zaidi ya NUSU Wamelazwa

60 watched
0
0
Published 10 Jul 2021

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi ya oksijeni. Dk Gwajima ametoa taarifa hiyo leo Jumamosi Julai 10, 2021 wakati akitoa elimu ya kujikinga na ugonjwa huo kwenye mnada wa Msalato jijini Dodoma. MERCY MEDIA - (MERCY TV ,MERCY FM) Nuru kwa wote Kwa matukio yote ya Injili ya Kristo na Habari mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ya tanzania Channel hii ni ya kanisa la Anglican Diocese of Mount Kilimanjaro mercymedia3@gmail.com 0767069313,+255713427121

Category

Show more

Comments - 0