Duration 2:15

Chuo Kikuu cha Mzumbe Mbeya chatoa wiki moja wanafunzi wote waripoti chuo

2 073 watched
0
17
Published 1 Jun 2020

Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampus ya Mbeya kimeeleza kuwa asilimia 51 ya wanavyuo wameripoti kuanza masomo baada ya Vyuo kufunguliwa jumatatu hii huku kikitawaka wanafunzi ambao hawajafika kufanya hivyo haraka ndani ya wiki moja. #AzamTVUpdates #DarasaniTena #AzamNews Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 1