Duration 5:53

(WASIFU) MH. WASIRA : Akielezea kwa ufupi Historia yake : Elimu na Utumishi

59 032 watched
0
118
Published 7 Jun 2015

Mwanasiasa mkongwe na mjumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi– CCM, Mh.Stephen Masato Wasira akitangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mh.Stephen Wasira ambaye ni mbunge wa jimbo la Bunda na waziri wa kilimo, chakula na ushirika akiwahutubia wananchi katika ukumbi wa chuo cha benki kuu jijini Mwanza. tar 01/06/2015

Category

Show more

Comments - 28