#MichaelJackson #KingOfPop
Episode 80: Michael Jackson
Marehemu Michael Jackson MJ wengi humtambua kama "Mfalme wa mziki wa Pop", anachukuliwa kuwa mmoja wa wanasaa muhimu wa karne ya 20. Mchango wa Jackson katika muziki, densi, na mitindo, pamoja na maisha yake binafsi, vilimfanya kuwa mtu maarufu ulimwenguni kwa zaidi ya miongo minne. Moja ya nyimbo zake kale ni Thriller, We are the world na Smooth criminal
Kama ni mara yako ya kwanza kutazama Newzfid karibu sana, na usisahau kusubscribe.