Wewe unasikia nini? Chagua jibu sahihi kati ya a, au b.
1. a) Unataka nini?
b) Unataka nani?
2. a) Unatoka wapi?
b) Unataka wapi?
3. a) Unakunywa nini?
b) Unakula nini?
4. a) Unafanya nini?
b) Unafanya kazi wapi?
5. a) Unaenda wapi?
b) Unaegesha wapi?