Huu ni mti uliopo katikati ya jangwa nchini Jordan katika mji wa Busra.
Ni mti wenye historia kubwa kwa kuwa ndio shehemu ya kwanza kutambulika utume wa Mohammad ( S.A.W ) na umedumu kwa miaka zaidi ya 1500 unaitwa SWAHABA ALIYE HAI.
Serikali ya Jordan imeujengea uzio ili kuulinda.
Category
Show more
Comments - 283
Related videos for HUYU NDIYE SWAHABA PEKEE ALIYE HAI.: