Duration 30:2

DUNIANI LEO - MEI 13, 2020

15 748 watched
0
88
Published 13 May 2020

DUNIANI LEO - MEI 13, 2020... Rais wa Marekani, Donald Trump amesema Marekani itaishinda vita dhidi ya Virusi vya Corona na kuongeza kuwa anatabiri kwamba uchumi wa nchi hiyo, utarudi na kuwa imara zaidi na kuongeza kwamba sasa wapo katika hatua ya tatu. Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na Rose garden, ikulu ya white house huku watu wachache waliovaa barakoa wakimsikiliza, ikiwa ni baada ya wafanyakazi wawili wa White House kuripotiwa kuwa na virusi vya Corona. /watch/A11mrEk0_LS0m Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline JE, NA WEWE UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com OUR PLAYLIST: HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 7