Comments - 39
  • @
    @emmanuelgeorge78064 years ago Duuu watanzania wenginee hatuna vtamburishoo vya taifaa ilaa mmalawi anacho dah inchii hi. Amen. 1
  • @
    @sarafinamakilkka56784 years ago La muhimu kufunga mipaka, wageni wenyewe au wenyeji toka nje wanaweza tumia ujanja wasije humo karantini. Mungu simama ktk hli. Tuiombee sana nchi yetu wapendwa. 1
  • @
    @muhzajphandrea71774 years ago Deo muhoza toka karagwe tumuachie mungu.
  • @
    @joycedaudi17694 years ago Serikali inatamani kweli ifunge mipaka lkn mtaishii vp kinacho takiwa n umakin kila anae ingia ashukie kantini. 1
  • @
    @imasimas45064 years ago Mungu ata tuvusha inshaallah. From oman tunawapenda.
  • @
    @evancetarimo13104 years ago Tumuombe mungu atuepushe na janga hili la korona jaman.
  • @
    @maryamjuma48934 years ago Ww faruku karim kutoka kisiwani zanzibar ndio nini? Au hujasoma hujui ulifanyaloo?
  • @
    @tryphinasylvester85384 years ago Trypina magezi wa tabora; tuaishukuru sana serijali ya tanzania kwa jitihada dhidi ya virusi huvi vya corina. Mungu ibariki tanzania, mungu wabariki viingozi wa nchi yetu.
  • @
    @nuhumtali87824 years ago Chamsingi muwataje majina kama wapo mitaani muweze kupata taarifa.
  • @
    @mwanaseiph28534 years ago Wageni kutoka nnje wasiruhusiwe huu ugonjwa janga. 1
  • @
    @kosespaulo73374 years ago Viongozi wataifa naomba mfungemipaka kwanijangahiliwatz tusiseme tumeweza barimungushetani nae anatutamani. 2
  • @
    @kemarsimba64584 years ago Wako wengi wanamiliki vitambulisho vya taifa lakini sio raia. Kwamfano mtangazaji waledio moja (dijalo warungu) uyu ni mkenya lakini anamiliki kitambulisho cha taifa.
  • @
    @gilbertvicent42294 years ago Tunampenda umny mwalimu ila mipaka ingefungwa ili tuwe huru na tufanye kaz kwa uhuru. 1
  • @
    @biashaallyally37014 years ago Kwanini hamfungi mipaka jamani mbona nchi za wenzetu wamefunga mipaka jamani tunaomba sana.
  • @
    @gespardanil20094 years ago Hivi huyu makonda unakamata watu mbona wewe ndo unaongoza kukusanya watu, au umekosa la kuongea?
  • @
    @godlistensingo64604 years ago Mipaka ifungwe jamani. Tucfanye maigizo na huu ugonjwa. Ee mungu tunusuru na hili janga. 1